Thursday, June 27, 2019

DIAMOND PLATNUMZ--KANYAGA

Tazama goma mpya kutoka kwa CHIBU DANGOTE ...Namzungumzia Diamond Plutnum ametoa ngoma mpya ambayo ina trend kwa sasa ijulikanayo kwa jina la KANYAGA...Itazame sasa hapa
 NI MWENDO WA KUKANYAGA

Mr. T TOUCH--ZAIDI YAO

Tazama wimbo wa Mr. T Touch MPYA ambao amemshirikisha Y Dee pamoja na Chadala. ngoma hiyo inajulikana kwa jina la zaidi yao....!!!

DJ KHALED--JUST US

TAZAMA NGOMA MPYA KALI KUTOKA KWA DJ KHALED AKIWA AMEMSHIRIKISHA SZA WIMBO UJULIKANAO KWA JINA LA JUST US!!!!!!

CHRIS BROWN--SWALLOW ME DOWN

Ngoma kali kutoka kwa mnyama Chris akiwa amemshirikisha French Montana # Swallow me down itazame sasa hapa u enjoy!!!!

NICK MINAJ--GOOD FORM

Tazama ngoma kali ya mwanadada Nick Minaj  Good form ambayo amemshirikisha rapa bora anaye fanya vizuri kwenye ngoma zake Lil Wayne

AUGUST ALSINA--NO LOVE

Tazama ngoma kali kutoka kwa August akiwa amemshirikisha mwanadada Nickminaj # No love

HARMONIZE--NITEKE

Ni Harmonize tena kutoka WCB...akiwa ametoa ngoma yake itwayo NITEKE .Tazama ngoma hiyo hapa sasa kutoka kwa Konde Boy!!!

DIAMOND PLATNUMZ--KANYAGA

Tazama goma mpya kutoka kwa CHIBU DANGOTE ...Namzungumzia Diamond Plutnum ametoa ngoma mpya ambayo ina trend kwa sasa ijulikanayo kwa jina l...